ILO:TATIZO LA AJIRA KWA WATOTO BADO NI DONDA SUGU KWA NCHI ZA KIAFRIKA.

..,..................

Timothy Marko.

SHIRIKA la kazi Duniani(ILO) limesema kumekuwa na5 Changamoto za Ajira kwa watoto katika nchi za kiafrika,huku likivitaka vyama vya wafanyakazi kuweza kuimarika ilikuweza kutatua matatizo ya wafanyakazi.

Akizungumza na waandishi wa Habari Makao Makuu ya ofisi za vya Shirikisho la vyama vya wa fanyakazi jijini Dar es salaam (TUCTA) Muwakilishi Mkazi wa Shilika hilo Carlo Mogala amesemakuwa ili kilimo kiweze kuwa natija nakiweze kuzalisha ajira,Suala Nishati ya Umeme lisiachwe nyuma.

"Ili kuwa Uelewano namakubaliano yapamoja Serikali na Shurikisho la vyama vya wafanyakazi viungane ili kuleta tija kwa Wafanyakazi"Alisema Muwakilishi shirika la kazi Duniani Carlo Mogala .

Carlo Mogala aliongeza kuwa Vyama vya wafanyakazi haviko kwa minaji yamaslahi ya wanasiasa bali vyama hivyo viko kwa minaji kutetea maslahi ya wafanyakazi wote nchini.

"Nivyema vyama hivi vikaungana nakunia mamoja ilikutetea na kuzisemea changamoto za wafanyakazi"aliongeza Muwakilishi mkaazi Carlo Mugala.

Naye Katibu Mkuu wa Shirikisho la vyama la wafanyakazi nchini (Tucta) Henry Mkunda amesema Shirikisho hilo limekuwa likizingatia matakwa ya kimataifa la shirika la kazi Duniani na kuhamasisha mijadala ya pamoja nakutoa msaada wa kitalamu ikiwemo kuimarisha sera mbalimbali.

Alisema Sambamba na hayo Taasisisi hiyo imelenga kuwajengea uwezo wafanyakazi kupitia mafunzo.

"Hii inakuza uelewa washeria za kazi katika taasisi nakutokomeza Ajira kwa wa watoto"AlisemaKatibu wa Tucta Herry Mkunda.

0/Post a Comment/Comments