..,.............
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) leo Februari 29,2024 amewasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe ambapo pamoja na mambo mengine atashiriki katika ufunguzi wa Jengo la Zahanati ya Kijiji cha Kweisewa kilichojengwa kwa kuwezeshwa na Hifadhi ya Taifa Mkomazi iliyopo wilayani humo Mkoani Tanga.
Akizungumza katika kikao hicho ameitaka Wilaya ya Korogwe kuendelea kutangaza na kuibua vivutio vya utalii vilivyopo Wilayani humo.




Post a Comment