DOLA MIL. TATU KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MATENDE NA MABUSHA.

 Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Dkt Mohammed Mang’una akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.
......,.......

Timothy Marko 

SERIKALI imesema kuwa katika Mwaka wa fedha 2023/24 imeweza kuwekeza Dola milioni 3 ilikuweza kutokomeza tatizo
 la Magonjwa yasiyopewa kipaumble ya Mabusha na Matende katika Manispaa 119.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa Halimashauri 119 kati halimashauri hizo,Halimashauri saba ndizo zilizobainika kuwa na Maambukizi mapya Mabusha namatende.

"Watu Milioni 3.7 wameondolewa katika Maambukizimapya ya ugonjwa wa Matende na Mabusha katika Manispaa za Temeke na jiji Dar es Salaam"Alisema Waziri wa Afya Ummy Mwalimu.

Ummy Mwalimu alisema kuwa Nivyema katika kata zakinondoni kuendelea kuchukua hatua dhidi ya Magonjwa ya Mabusha na Matende.

Alisema Serilikali inaendelea kuratibu huduma za matibabu za Mabusha na Matende nchi nzima bure.

"Dawa hizi za Matibabu za Mabusha na Matende ni bure na nisalama "Aliongeza Waziri wa Afya UmmyMwalimu.
Waziri ummy mwalimu alisisitiza kuwa katika kata za tandandare kinondoni Mwananyamala Hanasifu Makumbusho ndizo zenye tatizo kubwa za mabusha na matende.

0/Post a Comment/Comments