MEYA KUMBILAMOTO AFANYA ZIARA KATA YA KIMANGA

.....................

Meya wa jiji la Dar es salaam Omary Kumbilamoto amefanya ziara ya kikazi Kata ya Kimanga kutembelea miradi wa soko sambamba na kuzungumza na wakinamama katika Kata hiyo.

Meya Kumbilamoto katika ziara hiyo ameambatana na Diwani wa Kata ya hiyo Mhe.Kyombia



0/Post a Comment/Comments