SERIKALI IMEZIKATA JUMUIYA KUJISAJILI .


........
Timothy Marko

SERIKALI imezitaka Jumuiya za kirahia kuweza kujisajili katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ilikuepukana na Biashara Haramu, kutokana na Baadhi ya taasisi hizo kujihusisha na Biashara hiyo.

Akizindua Kampeni ya usajili wa Jumuhia hizo jijini Dar es Salaam Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhandisi Hamad Masauni amesema kuwa jumuhia za kirahia zimekuwa na mchangomkubwa katika kuleta Maendeleo ya Nchi.

  " Jumuhia za kirahia zimekuwa na Mchango Mkubwa katika kukuza uchumi wa nchi kwa kuleta Maendeleleo Endelevu kwa jamii ikiwemo kuboresha miundombinu ya jamii ikiewemo Shule,Vituo vya Afya nakuwa vyanzo vya ajira kwa Vijana"Alisema Waziri wa Mambo yaNdani Hamad Masauni.

Waziri wa Mambo yandani Masauni aliongeza kuwa kumekuwa na Baadhi ya jumuhia hizo ambazo hazina usajili zimekuwa ni Vichaka vya Biashara Haramu.

Aliongeza lengo lakuhimiza usajili wa taassi nikuhakikisha zinatambulika nakuleta mchango wa taifa .

'Zoezi hili litasaidi kuwekampangiliobora wa Ujenzi wamajengo yajumuhiya bila kuwakerokwa rahia"Asisitiza Waziri wa Mambo yandani Masauni.

0/Post a Comment/Comments