SIMBA YASONGA MBELE ROBI FSI5

 

................

Timu ya Simba SC ya Tanzania imeifundisha boli timu ya Jwaneng Galax ya Botswana mara baada ya kuifunga jumla ya magoli (6-0) katika mchezo wa Hatua ya Makundi ambao umemalizika katika uwanja wa Benjamin mkapa jijini Dar es salaam.

Hivyo kwa Hatua hiyo imeifanya timu ya Simba SC kusonga mbele katika Hatua ya Robo fainali ya michuano hiyo ya Klabu Bingwa Barani Afrika,ikishika nafasi ya pili Nyuma ya timu ya A sec Mimosa ya Ivory Coast ambayo tayari ilishafuzu kwa Hatua hiyo.

0/Post a Comment/Comments