WEMA NATAKA KUJIFUNZA BETING .

....................

Timothy Marko

Msanii wa Maigizo wa Bongo movie Wema Sepetu amesema hana uzoefu mkubwa katika Biashara ya kubashiri "Betting" ila anataka kujua namna inavyotenda kazi nakuongeza uzoefu wake juu ya tasnia  kubeti.

Akizungumza na Waandishi wahabari jijini Dar es Salaam Wemasepetu amesema kuwa amekuwa akijaribu tansia hiyo kwa kuifunza bila mafanikio nakusisitiza anahitaji kujifunza juu ya kuwa Balozi wa hela Bet.

"Nimejaribisha mara mbili juu ya kubet ninataka kujifunza juu ya beting"Alisema Wema sepetu.

Kwa upande wake Muwakilishi wa  Hela Bet Jacob Mbuya amesema  kampuni hiyo imekuja kuongeza ushindani juu ya sekta ya Michezo yakubatisha nchini.

0/Post a Comment/Comments