Waziri wa Fedha
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akisalimiana na Waziri wa Fedha wa
Sierra Leone, Mhe. Sheku Fantamadi Baagura, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa
Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo
wa Benki ya Dunia (IDA21), unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi
wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta, Jijini Nairobi, Kenya.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21), unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta, Jijini Nairobi, Kenya.
Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango-Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, akiteta
jambo na Mshauri wa Rais wa Masuala ya Uchumi Dkt. Blandina Kilama (kushoto),
kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa
Nchi za Afrika wa uchangiaji wa mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki
ya Dunia (IDA21), unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta, jijini Nairobi, Kenya.
Waziri wa Fedha
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba, na Mkurugenzi wa
Mawasiliano ya Rais Ikulu Bi. Zuhura Yunus, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa
Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo
wa Benki ya Dunia (IDA21), unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi
wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta, Jijini Nairobi, Kenya.
Katibu Mkuu
Wizara ya Fedha Dkt. Natu El Maamry Mwamba, akiwa katika Mkutano wa Wakuu wa
Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki
ya Dunia (IDA21), unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta, Jijini Nairobi, Kenya.
Waziri wa Fedha
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba na Balozi wa Comoro
nchini Tanzania Dkt. Ahamada El Badaoui Mohamed, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa
Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21),
unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa
wa Kenyatta, Jijini Nairobi, Kenya. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano, WF, Nairobi-Kenya
Post a Comment