Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Aprili, 2024.
RAIS SAMIA AZINDUA TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akigusa screen ya iPad kuashiria uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Aprili, 2024.



Post a Comment