MAENDELEO BENKI YATOA BIL.9.8 KWA WA WAMACHINGA.

.,.............

Na.Timothy Marko

MAENDELEO Benki imetoa mikopo ya Shilingi Bilioni9.8 katika kuwawezesha Wafanyabiashara wadogowadogo wapatao700 wajiji la Dar es salaam itakayo wawezesha kupata Maakaazi ya Nyumba 500.

Akizungumza waandishi wa Habar jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Maendeleo6 Benki Ibrahim Mwangalaba amesema mpango huo utawezesha wamachinga kumiliki Ardhi na Maakazibora ilikuliwezesha kundi hilo kukopesheka kwenye Mabenki.

" Kwa mpango huu utawawezesha kukidhi vigezo vyakukopesheka ili kukuza mitaji kwa sababu watakuwa wanakidhi Sharti la Uwepo wa dhamana ya mikopo ambayo ndio limekuwa kikwazokikubwa cha kukopesheka kwa wamachinga walio wengi"Alisema Mkurugenzi Ibrahimu Mwangalaba.

Mwangalaba aliongeza kuwaDhamira ya Benki hiyo nikuwainua Wamachinga na wafanyabiashara wadogowawogo kutoka kwenye nafasi hiyo kwenda kuwa wafanyabishara wakubwa.

Alisisitza kuwa Hatua hiyo itawezesha ukuaji wa Uchumi na Uzaliishaji na ulipaji wakodi.

Aidha,kwaupande wake Mwenyekiti wamachinga wa Mkoa wa Dar es Salaam Namoto Yussufu Namoto amesema kuwa wafanyabiashara hao wametengeneza kanzi data ya wafanyabiashara wa mkoa huo ambapo zaidi masoko17 yanatambulika najumuhia hiyo.

Alisema Hadi kufika Mwezi huu zaidi ya shilingi bilionj19.2 zimeweza kukopeshwa kwa wafanyabishara hao.

"Wamachinga 700 wamekopeshwa viwanja milioni500 vyenyethamani ya shilingi bilioni 10"Alisema Mwenyekiti wa wamachinga mkoa wa Dar es salaam Namoto yusufu

0/Post a Comment/Comments