Jeshi la Polisi Mkoa wa
Arusha limesema mei 29, 2024 muda wa saa 08:22 mchana huko katika maeneo ya
Elerai Jijini Arusha walifanikiwa kumkamata Peter Mwacha (18) dereva bajaji na
mkazi wa Sombetini Jijini Arusha akiwa anasafirisha dawa za kulevya pamoja na mtuhuiwa wa
maujaji.
MTUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA NA MAUAJI ARUSHA MBARONI.
********

Post a Comment