TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO BARAZA LA USALAMA AFRIKA (AU) .


*********

Timothy Marko

NCHI ya Tanzania inatarajia kuwa Mwenyeji wa Mkutano Baraza la Usalama wa Nchi za Afrika Mei 24 had Mei25 Utakao fanyika katika  Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam  Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba amesema Nchi nyinginezo zinazo tarajia kushiriki Mkutano huo wa Baraza la Usalama la Umoja wa Afrika (AU) ni Pamoja  Afrika kusini,Angola , Ivory Cost,Gambia,serialone, Misri ,Morocco kusini,Equtorial  Gunea,Boswana kusini Mocco kaskazini na Mwenyeji Tanzania.

"Kauli mbiu za maadhimisho ya Miaka (20) ya Baraza la Usalama wa Afrika ,Baraza la Usalama  la Afrika ni Chombo cha Maamuzi" Alisema Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Kimataifa January Makamba.

Waziri Makamba aliongeza kuwa  moja ya Agenda Muhimu zitakazo jadiliwa nipamoja Ulinzi na Usalama Barani Afrika.
Alibainisha kuwa Tanzania imekuwa ni Nchi yenye Historia Adhimu katika Masula ya Ulinzi na Usama Barani Afrika.

"NCHI ya Tanzania inaheshimika kutokana na Harakati za Ukombozi wa Bara la Afrika"Alisisitiza Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba.

Makamba alieleza kuwa  Baada ya Harakati za Kuleta Ukombozi wa Bara la Afrika  Tanzania imepewa jukumu lakulinda  Uhuru na Usalama wa Afrika .

"Sisi Tanzania hatupo nyumakatika Hakarakati za kuleta  Amani na Usalama wa Bara la Afrika"Alibainisha Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba.






0/Post a Comment/Comments