...…...
Kamati ya Uongozi Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) imekutana Mkoani Iringa kwa lengo la kutembelea ujenzi wa Kituo cha kutangaza Utalii Kusini mwa Tanzania litakalotumiwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) na Kituo cha Utafiti wa Wanyamapori chini ya Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI), kwa lengo la kufanya tathimini ya hatua zilizofikiwa za ujenzi wake.
Ziara ya Kamati hiyo iliyotembelea maeneo ya mradi Kihesa Kilolo, imeudhuriwa na Mshauri Elekezi, wajumbe kutoka Wizara ya Maji, Wizara Kilimo, Wizara ya Fedha, Tume ya Taifa ya Umwagiliaji na Wizara ya Maliasili ambaye ndio inatekeleza mradi huo.
...........

Post a Comment