....,.........
Team ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya hapa nchini imewasili Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya kwa lengo la kuangazia matokeo chanya ya utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW).
Wakiwa Wilayani Mbarali, wanahabari hao, wamekutana na Uongozi wa Bodi ya Maji Bondo la Mto Rufiji ambayo pamoja na majukumu mengine inatekeleza sehemu ya mradi wa huo mkubwa wa kimkakati pia imekutana na Viongozi mbalimbali wa Serikali za Kata na Vijiji pamoja na wanufaika wa Mradi wa REGROW.



Post a Comment