Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo
akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
Mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao cha 52 mkutano wa 15 wa Bunge jijini
Dodoma leo tarehe 24 Juni, 2024.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis
akiwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa kikao cha 52 mkutano wa 15
wa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 24 Juni, 2024.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis
akiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknlojia ya Habari wakati wa kikao
cha 52 mkutano wa 15 wa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 24 Juni, 2024.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo
(kulia) akishiriki kikao cha 52 mkutano wa 15 wa Bunge jijini Dodoma leo tarehe
24 Juni, 2024. Wengine kuanzia kushoto ni Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu
Nchemba, Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande na Naibu Waziri Ofisi ya
Rais (Mipango na Uwekezaji) Mhe. Stanslaus Nyongo.
Post a Comment