WATUMISHI 80 WA CHUO CHA MAJI WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA NGORONGORO

..........................

Watumishi wa Chuo cha Maji wamemshukuru Waziri wa Maji Jumaa Aweso kwa kuwaondolea unyonge Chuo cha maji baada ya kutembelea hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro.

Watumishi hao wamempongeza Waziri Aweso wakitumia neno unforgettable one katika Chuo cha maji kutokana na maono yake ya kukiimarisha Chuo hicho.

Pia wamemshukuru Mkuu wa Chuo cha maji Dr Adam Karia kwa kukusimamia vyema maono ya Jemesari Aweso.

0/Post a Comment/Comments