Na.Mwandishi ,Jeshi la Polisi Dar es Salaam.
Mashindao ya kombe la Wiki ya Nenda Kwa Usalama yanayoendelea katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (DPA) yamendelea ambapo mechi zilizochezwa siku ya Leo ni timu kutoka Jimbo la Kinondoni dhidi ya timu kutoka Jimbo la kibamba .Matokeo ya mtanange huo wa wiki ya nenda kwa usalama ulio zikutanisha timu hizo mbili na matokeo yake ni kibamba iliibuka na ushindi wa goli mbili bila dhidi ya kinondoni.
Awali kiongea kabla ya mchezo huo timu zote mbili zilipata nasaha kutoka kwa Mkuu wa chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam (DPA) naibu Kamishna wa Polisi DCP Dkt Lazaro Mambosasa ambao aliwataka wachezi kutambua na kufuata sheria na kanuni za soka ili kuvutia watazamaji wanaofuatili michuano hiyo iliyojibeba umarufu Mkubwa katika mchezo wa soka.
Michezo hiyo itaendelea hapo siku ya kesho katika mwendelezo wa mashindo hayo ya wiki ya nenda kwa Usalama.
#abelstanfordp✍️✍️✍️✍️
Post a Comment