ONANA NA AWESU WATUA KAMBI YA SIMBA MISRI

*******

 Wachezaji wa Simba SC,Awesu Awesu na Willy Onana wamewasili kambini Ismailia, nchini Misri, hii leo kwa ajili ya kufanya maandalizi (Pre-season)na nyota wengine kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC.

 

0/Post a Comment/Comments