Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kwenye jiwe la uzinduzi pamoja na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kuashiria uzinduzi vihenge na maghala ya kisasa ya kuhifadhia nafaka ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi wa Chakula (NFRA), Mpanda katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Katavi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuashiria ununuzi wa nafaka kwa msimu wa 2024-2025 mara baada ya uzinduzi wa Vihenge na Maghala ya Kisasa ya kuhifadhia Nafaka ya (NFRA), Mpanda katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Katavi tarehe 14 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuashiria ununuzi wa nafaka kwa msimu wa 2024-2025 mara baada ya uzinduzi wa Vihenge na Maghala ya Kisasa ya kuhifadhia Nafaka ya (NFRA), Mpanda katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Katavi tarehe 14 Julai, 2024.
[caption id="attachment_378331" align="alignnone" width="1024"] Taswira ya Vihenge na Maghala ya Kisasa kuhifadhia Nafaka ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi wa Chakula (NFRA) Mpanda Mkoani Katavi tarehe 14 Julai, 2024.[/caption]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Kilimo Hussein Bashe wakati alipotembelea vihenge na maghala ya kisasa ya kuhifadhia nafaka ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi wa Chakula (NFRA), Mpanda Mkoani Katavi katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Katavi tarehe 14 Julai, 2024.
P
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wakati alipotembelea vihenge na maghala ya kisasa ya kuhifadhia nafaka ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi wa Chakula (NFRA), Mpanda Mkoani Katavi katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Katavi tarehe 14 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi wakati alipotembelea vihenge na maghala ya kisasa ya kuhifadhia nafaka ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi wa Chakula (NFRA), Mpanda Mkoani Katavi katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani Katavi tarehe 14 Julai, 2024.
Post a Comment