RAIS WA MSUMBIJI AONDOKA NCHINI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YA SIKU NNE
byTorch Media-0
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi ameondoka nchini mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku tatu ambapo pamoja na mambo mengi aliyoyafanya aliweza kufungua maonesho ya 48 ya biashara ya kimataifa maarufu kama sabasaba.
Rais Nyusi ameondoka leo nchini na ameagwa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakiwapungia mkono wananchi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar tarehe 04 Julai, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakiwapungia mkono wananchi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar tarehe 04 Julai, 2024.Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akipunga mkono wakati akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar mara baada ya kuhitimisha ziara yake tarehe 04 Julai, 2024.
Post a Comment