STEVE NYERERE- TUMEJIFUNZA MENGI KOREA.




TimothyMarko

MWENYEKITI wa Taasisi ya Mama ongea na Mwanao Steve Nyerere amemshukuruRais wa Jamuhuriwa ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuwakutanisha na wasanii wa Filamu wa Tanzania nakorea nakusisitiza hatua hiyo itakuza soko la Filamu nchini.

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Steve Nyerere amesema Nchi ya Korea imepiga hatua katika soko lafilamu na kusisitiza Kuna Ajira takriban 14zinazotokana na soko Hilo ikiwemo Mwandishi wa Muongozo wa Filamu huku mwigizaji anabaki kuwa mwigizaji .
,,
Tunahitaji Director mwenye Elimu, piga picha mwenye Elimu Producer mwenye Elimu,, Alisema Steve Nyerere.

Nyerere Alisema kuwaNivyema wasanii wakapewa bima ya Afya maana wanaingizia taifa Pato la taifa kutokana sekta hiyo.aliongeza Nivyema viwanda Makampuni wakatumia wasanii katika kutangaza biashara.
,,
Tunahitaji kukuza lugha yetu ya kiswahili kupitiafilamu zetu kimataifa,, Alisitiza Steve Nyerere .

Mwigizaji wa Filamu za kibongo Irene Uwoya amesema hatua ya Rais Samia kuwa peleka Korea umefungua soko la Filamu kimataifa
Amesema kuwa Nchi ya Korea ninchi inayojali maudhui ya Filamu zake hakuna maudhui yakutoka Nje ya Nchi hiyo yanayoruhusiwa kutoka kwenye Filamu.

Kumekuwa vyuo vya kuwajengea uwezo wa sanii wa Filamu na kumekuwa na mfuko wakusadia wasanii wa Filamu ,,, Alisema Irene Uwoya.
Aidha, Msanii Ivon Sherry Monalisa amesema Serikali ya Korea imekuwa na mipango yakuinua sekta hiyo.amesema zipo Taasisi nyingi zinazo sapoti tasnia hiyo.



0/Post a Comment/Comments