****
Mamlama ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), imetangaza kuiondoa dawa soko la dawa aina ya Ampicillin .
Taarifa ya Mamalaa hayo kwa vyombo vya habafi inasema kuwa dawa hiyo yenye kiambato kimoja imebainika kuwa na ufanisi katika tiba.
Kwa. mujibu wa taarifa ya Mamlaka hayo, matumizi makubwa na holela ya dawa hizo yanaelezwa kuongezeka nchini hasa wakati wa kipindi cha mlipuko wa ugonjwa wa Covid (Uviko-19) yameleta madhara kwa wananchi.
"Moja ya madhara hayo ni pamoja na usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa (AMR) na kuwa tishio kwa afya si kwa Tanzania pekee bali duniani kote kwa kukwamisha matibabu ya maambukizo ya vimelea vya maradhi. ' imesisitiza taarifa hiyo.
TMDA imesema inaendelea kufuatilia matumizi ya dawa hizo ikiwa ni pamoj na kutosajili dawa za kundi hilo ambazo zimeshindwa kutibu kutokana na usugu.
.png)
Post a Comment