Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TRC Bw. Masanja Kadogosa wakati akizindua Rasmi Safari za Treni ya kisasa SGR na miundombinu ya Reli hiyo kutoka Dar es salaam mpaka Dodoma leo August 01,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akipiga makofi na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi mara baadaye kuzindua Rasmi Safari za Treni ya kisasa SGR na miundombinu ya Reli hiyo kutoka Dar es salaam mpaka Dodoma leo August 01,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akifurahia na Mkurugenzi Mkuu wa TRC Bw. Masanja Kadogosa mara baada ya kukata utepe wakati akizindua Rasmi Safari za Treni ya kisasa SGR na miundombinu ya Reli hiyo kutoka Dar es salaam mpaka Dodoma leo August 01,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika kituo kikuu cha SGR tayari kwa kuzindua Rasmi Safari za Treni ya kisasa SGR na miundombinu ya Reli hiyo kutoka Dar es salaam mpaka Dodoma leo August 01,2024.
Post a Comment