Na Tausi Mbowe
Mammala ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), imeibuka kidedea na kushika nafasi ya kwanza katika Kundi la Mamalaka za Udhibiti.
Tuzo hizo zimetolewa leo Agosti 8, 2024 katika viwanja vya Nanenane jijini Dodoma ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya wakulima Nanenane.
Katika maadhimisho hayo viongozi mbalimbali akiwamo Waziri wa Vwanda na Biashara, Suleiman Jaffo alitembelea Banda Mamalaka hiyo.



Post a Comment