WAZIRI JAFO ATEMBELEA BANDA A TMDA-NANENANE DODOMA

"""""

Na Tausi Mbowe

Waziri wa Vwanda na Biashara, Suleiman Jaffo ametembelea Banda la Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), katika maomyesho ya Nanenane. 

Maonyesho hayo yanafanyika kitaifa katika viwanja vya Nanenane jjini Dodoma.

Waziri Jaffo alitembelea banda hilo leo Agost 8 ikiwa ni siku ya kitaifa ya Siku ya Wakulima nchini na kutia saini kitabu cha wageni. 

Aidha, Waziri Jaffo alipata nafasi ya kupata maelezo ya shughuli zinazofanywa na mamlaka hiyo katika sekta ya afya nchini.



 

0/Post a Comment/Comments