MAJALIWA KUFUNGA MKUTANO MAALUM WA VIONGOZI, WATAALAM NA WADAU WA MAZINGIRA

********

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 10, 2024 anafunga mkutano maalum wa viongozi, wataalam na wadau wa mazingira kuhusu mwelekeo wa mazingira nchini, katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

madhumuni ya Mkutano huo ni kuchambua hali ya mazingira nchini, kubadilishana uzoefu, na kupanga mikakati madhubuti ya kuhifadhi na kusimamia mazingira.

Kauli mbiu ya mkutano huo ni “Mazingira Yetu na Tanzania Ijayo” Tuwajibike sasa.


 

0/Post a Comment/Comments