Bw. Ignas Athanas Inyasi Afisa Mtandaji Mkuu wa kampuni ya Blue Coast Co. Ltd akipokea zawadi kutoka kwa Kulwa James Kasuka, Mhasibu Mwandamizi kutoka Bodi ya Bima ya Amana DIB kulia na Afisa wa Bodi ya Bima ya Amana (DIB) Careen Max wakati alipotenbelea katika banda la bodi hiyo katika maonesho ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita Leo Oktoba 9, 2024.
Bw. Ignas Athanas Inyasi Afisa Mtandaji Mkuu wa kampuni ya Blue Coast Co. Ltd akisaini kitabu cha wageni wakati alipotenbelea katika banda la bodi hiyo katika maonesho ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita Leo Oktoba 9, 2024, katikati ni Kulwa James Kasuka, Mhasibu Mwandamizi kutoka Bodi ya Bima ya Amana DIB na kushoto ni Afisa wa Bodi ya Bima ya Amana (DIB) Careen Max
Bw. Ignas Athanas Inyasi Afisa Mtandaji Mkuu wa kampuni ya Blue Coast Co. Ltd akipata maelezo kutoka kwa Kulwa James Kasuka, Mhasibu Mwandamizi kutoka Bodi ya Bima ya Amana DIB wakati alipotembelea banda hilo.
Bw. Ignas Athanas Inyasi Afisa Mtandaji Mkuu wa kampuni ya Blue Coast Co. Ltd akiuliza maswali ili kupata ufafanuzi kutoka kwa ma Afisa Hao wa DIB.
Kulwa James Kasuka, Mhasibu Mwandamizi kutoka Bodi ya Bima ya Amana DIB kulia na Afisa wa Bodi ya Bima ya Amana (DIB) Careen Max katikati wakimkabidhi zawadi mmoja wa wageni waliotembelea banda hilo.
Post a Comment