Watu 11 wakiwemo watoto wawili wamekufa nchini
Uganda, baada ya lori la mafuta kupata ajali na kisha kulipuka.
Lori hiyo ililikuwa ikisafiri kutoka Kampala kwenda Gulu kaskazini mwa Uganda, ambayo ni safari ya takriban kilomita 650.
Ccdwkiswahili
Post a Comment