RAIS DK.SAMIA MGENI RASMI TAMASHA LA KISWAHILI CUBA.



.............,.

Timothy Marko 

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajia kuhudhuria Tamasha la Kiswahili Nchini Cuba litakalofanyika kuanza November Mwaka huu.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam Waziri wa Sanaa,Utamaduni na Michezo Dk.Damas Ndumbalo amesema Tamasha Hilo linalenga kukibadhisha lugha ya Kiswahili Nchini Cuba.

"Sisi Sote tumefundishwa kiswahili tunaweka nguvu ya Ufundishaji wa lugha ya Kiswahili Vituo 100 vya kiswahili" Alisema Waziri  Dk .Damas Ndumbalo.

Dk . Ndumbalo Aliongeza kuwa Vituo hivyo 100 vya kukibidhaisha Kiswahili Vitawatumia Diaspora wa kutoka Tanzania nchini Cuba .

Alisisitiza kuwa kongamano Hilo la siku tatu lina tarajiwa kudhuriwa nawashiriki 600 November 7hadi Mwaka huu.

"Tamasha Hilo linatambuliwa na Umoja wa Mataifa na UNESCO"Alisisitiza Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo Dk Damas Ndumbalo.
 

0/Post a Comment/Comments