KAMATI YA MAB YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA TMDA

****

Na Tausi Mbowe

Kamati ya MAB ya Huduma za Sheria na Masuala ya Kitaalamu imeridhishwa  na utendaji wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA). 

Mwenyekiti wa kamati hiyo, Erick Shitindi amesema hayo Oktoba 3, Jijini Mbeya. 

Wajumbe wa Kamati hiyo wamekutana leo katika ofisi za Mamlaka hiyo Kanda ya Juu Kusini zilizopo mkoani Mbeya. 

Pamoja na mambo mengine wajumbe hao walijadiki utendaji kazi wa mamalaka ambako waliridhishwa nao. 

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzanja (TMDA), pamoja na mambo mengine inajukumu la kusimamia masuala yote ya Dawa, Vifaa Tiba na Vitendanishi.



 

0/Post a Comment/Comments