KANDA YA KUU KISINI WAMPONGEZA DK FIMBO DK KISSA

****
Na Tausi Mbowe

Ofisi ya Kanda ya Juu Kusini wamewapongeza Mkurugenzi Mkuu, Dk Adam Fimbo na Mkurugenzi wa Vifaa Tiba, Dk Kissa Mwamwitwa kwa kutunikiwa Shahada ya Uzamivu. 

Hafla hiyo imefanyika leo Omgoba 2, 2024 jijini Mbeya katika ofisi za Mamlaka hiyo Kanda ya Juu Kusini. 

Awali Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Dk Fimbo alikabkdhi Mwenyekiti wa MAB andiko la Shahada ya Uzamivu. 



 

0/Post a Comment/Comments