MSAJILI BARAZA LA FAMASIA ATEMBELEA TMDA


****

Tausi Mbowe 

Msajili wa Baraza la Famasia, Boniface Magige amefanya ziara katija ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA). 

Ziara hiyo ya kikazi na kujenya ushirikiano imefanyika leo Oktoba 7,2024.

Msjili huyo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamalaka hiyo, Dk Adam Fimbo. 

Pamoja na mambo mengine viongozi jao wamejadili namna ya taasisi hizo zinaweza kudumisha ushirikiano na kufanya kazi pamoja kwa lengo la kuwafikia na kuwahudumia Watanzania katika sekta ya Afya nchini.
 

0/Post a Comment/Comments