Tausi Mbowe
Mamalaka ya Dawa na Vifaaa Tiba Tanzania (TMDA), imeendelea kutoa elimu kwa wananchi ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Wateja.
Wiki ya wateja inayoadhimishwa kila Oktoba 7 hadi 11 pamoja na mambo mengine taasisi hutumia kutoa huduma mbalimbali ikiwamo elimu wa wateja wake.
Mapema leo Oktoba 11, Torch media ilishuhudia watumishi wa Mamlaka hiyo wakiwahudumia wateja na kuwaelimisha kuhudu matumizi sahihi ya Dawa, Vifaa Tiba na Vitendanishi.
Meneja Uhusiano na Habari wa TMDA, Gaudensia Simwanza alisema kuwa mamlaka hiyo inawajali wateja wake hivyo wameamua kutumia fursa hiyo kuwafikia.



Post a Comment