******
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imevuka lengo la makusanyo kwa kipindi cha miezi mitatu kwa kukusanya Sh7. 42 trioni.Makusanyo hayo ni kati ya Julai na Septemba mwaka 2024 sawa na asilimia 104.9.
Taarifa ya Kamisha Mkuu wa Mamlaka hiyo, Yusuph Mwenda imesema kuwa makusanyo ni sawa na ukuwaji wa asilimia 18.4 kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na TRA miezi ya Julai mpaka Septemba.
Post a Comment