TUSOMANE VITUONI NOVEMBA 27




Ni maneno yanayosomeka kwenye mabango yanayotumiwa na mashabiki mbalimbali wa Simba na Yanga (Watoto wa Mama) kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa Benjamini Mkapa.

Mashabiki wa Simba na Yanga wametumia mchezo wa Derby ya Kariakoo leo Oktoba 19, 2024 kuhamasishana kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mtaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 ili kupata viongozi bora kwa maendeleo ya soka kwanzia mitaani, vinapopatikana  vipaji vya kweli 






0/Post a Comment/Comments