Ni mwendelezo wa kutoa elimu kwa makundi mbalimbali katika jamii ambapo elimu hiyo imetolewa kwa wakazi wa Longido ili kuepuka makosa wakati wa uchaguzi.
Akitoa elimu hiyo Mkuu wa Polisi Jamii Wilaya ya Longido Mkoani Arusha Mrakibu Msaidizi wa Polisi ASP Tausi Mbalamwezi amebainisha wameendelea kutoa elimu hiyo ili kuwapa uelewa juu ya mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa uchaguzi.
Ameongeza kuwa baada ya elimu hiyo hatotarajia mwananchi kuvunja sheria kutokana na elimu hiyo.
Post a Comment