RAIS DKT. SAMIA AFIKA MOROGORO AKISAFIRI KWA TRENI YA SGR



******

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Stesheni ya Jakaya Kikwete Mkoani Morogoro ambapo alisafiri kwa Treni ya SGR kutokea Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Novemba, 2024.
 

0/Post a Comment/Comments