RAIS SAMIA AKAGUA ENEO LA AJALI YA GHOROFA KARIAKOO







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua eneo la maafa ya ajali ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo, Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Novemba, 2024.

0/Post a Comment/Comments