HomeKITAIFA. RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI KARIAKOO byTorch Media -November 20, 2024 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua eneo la maafa ya ajali ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo, Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Novemba, 2024.
Post a Comment