RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU DKT.FAUSTINE NDUGULILE



JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  BUNGE LA TANZANIA 

MAREHEMU MHESHIMIWA DKT. FAUSTINE ENGELBERT NDUGULILE (31/03/1969 - 27/11/2024)  RATIBA YA MAZISHI TAREHE 29 NOVEMBA HADI   TAREHE 03 DISEMBA, 2024, DAR ES SALAAM 

______________

RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MHESHIMIWA  

DKT. FAUSTINE ENGELBERT NDUGULILE 

TAREHE 29 NOVEMBA HADI TAREHE 03 DISEMBA, 2024

29 NOVEMBA, 2024 (IJUMAA)
MUDA  TUKIO  MAHALI  MHUSIKA
6:35 Mchana  Mwili wa Marehemu kuwasili  Uwanja wa Ndege wa Dar es  Salaam kutokea India kwa  Ndege ya Shirika la Ndege la  Ethiopia na kupokelewa na:  Naibu Spika  Wajumbe wa Tume  Katibu wa Bunge  Wawakilishi wa Serikali Wawakilishi wa Chama Uwanja wa   Kimataifa wa   Julius Kambarage  Nyerere, Dar es  Salaam Mpambe wa   Bunge/Kamati ya   Mazishi
Mwili wa Marehemu   kupelekwa kuhifadhiwa  Hospitali ya JWTZ, Lugalo Mpambe wa   Bunge/Kamati ya   Mazishi
30 NOVEMBA - 01 DISEMBA, 2024   (JUMAMOSI NA JUMAPILI)
Maombolezo yanaendelea  Nyumbani kwa   Marehemu Kamati ya Mazishi
02 DISEMBA, 2024 (JUMATATU)
12:40 - 1:15  Asubuhi Mwili wa Marehemu kuelekea  Kanisa la St. Immaculate - Upanga  Upanga  Mpambe wa   Bunge  Kamati ya   Mazishi
1:30 - 2:30  Asubuhi Misa Takatifu  St. Immaculate - Upanga Familia  Kamati ya   Mazishi
2:00 - 3:00   Asubuhi Viongozi na Wageni   mbalimbali kuwasili: Viwanja vya   Karimjee Itifaki  Kamati ya   Mazishi

3:00 - 3:50   Asubuhi Waheshimiwa   Wabunge Kuwasili  Waheshimiwa Mabalozi  na Wakuu wa Taasisi   za Kimataifa kuwasili  Mheshimiwa Spika   kuwasili  Mheshimiwa Waziri   Mkuu kuwasili  Mheshimiwa Rais   kuwasili Viwanja vya   Karimjee Itifaki  Kamati ya   Mazishi 
4:00 Asubuhi  Mwili wa Marehemu   Mheshimiwa Dkt. Faustine  Engelbert Ndugulile kuwasili Viwanja vya   Karimjee Mpambe wa   Bunge  Itifaki  Kamati ya   Mazishi   Familia
4:00 - 4:20   Asubuhi Sala/Dua fupi  Viwanja vya   Karimjee Mshereheshaji  Viongozi wa   Dini
4:20 - 4:30   Asubuhi Wasifu wa Marehemu  Viwanja vya   Karimjee Mbunge   atakayeteuliwa  /Katibu wa   Bunge
4:30 - 4:35   Asubuhi Neno kutoka kwa Watoto wa  Marehemu Viwanja vya   Karimjee Watoto
4:35 Asubuhi -  5:30 Mchana SALAMU ZA POLE:  Chama cha Madaktari  Wanafunzi Tanzania   (TAMSA)   Chama cha Madaktari  Tanzania (MAT)  Washirika wa   Maendeleo katika   Masuala ya Afya  Mwakilishi wa   Wabunge wa Dar es   Salaam   Mwakilishi wa WHO  Mwakilishi wa CCM Viwanja vya   Karimjee Mshereheshaji

3

Mwakilishi wa   Wabunge Walio  Wachache  Mheshimiwa Waziri   Mkuu  Mheshimiwa Spika   Mheshimiwa Rais  Neno la shukrani   kutoka kwa   Mwanafamilia
6:30 - 8:00   Mchana Mheshimiwa Rais   kuwaongoza Viongozi na  Wageni mbalimbali kutoa  heshima za mwisho Viwanja vya   Karimjee  Mpambe wa   Bunge  Itifaki  Kamati ya   Mazishi 
8:30 Mchana  Mwili wa Marehemu kuelekea  Nyumbani kwa Marehemu  Kigamboni  Mpambe wa   Bunge  Kamati ya   Mazishi 
3 DISEMBA 2024 (JUMANNE)
2:00 Asubuhi  Mwili wa Marehemu kuelekea  Viwanja vya Machava kwa ajili  ya Wananchi kutoa heshima  za mwisho Kigamboni  DC/Mpambe wa   Bunge/Kamati ya   Mazishi
8:00 Mchana  Mwili wa Marehemu kuelekea  Kanisa la Bikira Maria   Consolata kwa ajili ya Misa ya  Mazishi  Kigamboni  Mpambe wa   Bunge/Kamati ya   Mazishi
9:00 Alasiri Msafara wa mwili wa   Marehemu kuondoka kanisani  kuelekea Makaburi ya   Mwongozo Kigamboni Mpambe wa   Bunge  Itifaki  Kamati ya   Mazishi
9:30 - 11:30  Alasiri Mazishi  Kigamboni  Familia/Mpambe wa  Bunge/Kamati ya   Mazishi
MWISHO

4

0/Post a Comment/Comments