TMDA YAKUTANA NA WASHIRIKA MRADI WA BREEDIM



 ******

Tausi Mbowe

Wadau mbalimbali wanaoshiriki utekelezaji wa mradi wa Breedime wamekutana na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA). 

Mkutano huo wa siku mbili umefanyika Novemba 18 na 19, 2024 visiwani Zanzibar. 

Lengo la mkutano huo ni kujadili taarifa ya mwaka baada ya kuanza mradi huo. 

Mradi wa Breedime unalenga kuimarisha mifumo ya afya katika utafiti, uchunguzi na udhibiti wa Dawa na Vitendanishi kwa vipindi vya kawaida na dharura.





0/Post a Comment/Comments