TMDA YAMLILIA DK NDUNGULILE

****

Na Tausi Mbowe

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA),  imetoa salam pole kwa Watanzania kufuatia kifo cha Mbunge wa Kigamboni, Dk Faustine Ndungulile. 

Ndungulile pia alikuwa Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika. 

"TMDA tunato pole kwa familia, Bunge na Watanzania wote kwa msiba huo mzito, " ilisema taarifa ya mamlaka hiyo kwa vyombo vya haabari.


 

0/Post a Comment/Comments