Watumishi wa
Mamlaka ya viwanja vya ndege WIlaya ya Musoma Mkoani Mara wameguswa na upendo
wa Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya Serengeti kwa kitendo cha kutoa viti mwendo
kwa wananchi wenye changamoto ya Miguu kitendo kilichopelekea kuungana nae
kutoa viti mwendo kwa wananchi hao.
Amesisitiza kuwa
mbali na utu na ubinadamu katika kuwasaidia wananchi hao hata vitabu vya dini vinawaambia
kuwasaidia wahitaji ili kupata baraka kutoka Kwa Mungu wao alisema kimario.
Post a Comment