.........................
Basi lililokuwa limewabeba wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limegongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande, Kongwa mkoani Dodoma asubuhi ya leo wakati wakielekea kwenye mashindano ya michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Mombasa, Kenya.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa katika Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa katika Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma.
Post a Comment