Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Frederick Werema amefariki dunia.
Jaji Warema amefariki leo Jumatatu, Disemba 30, mchana.
Taarifa ya Katibu wa Parokia ya Mt. Marha, Salome Ntaro imesema kuwa Jaji Warema amefikwa na mauti katika Hospitali ya Muhimbili (MNH), alipokuwa amelazwa.
Post a Comment