................
Rais Samia Suluhu amempandisha cheo Naibu Kamishna wa Polisi, DCP. Tatu Rashid Jumbe kuwa Kamishna wa Polisi, na ameteuliwa kuwa Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu katika Jeshi la Polisi akichukua nafasi ya CP. Suzan Kaganda ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.
Hiyo ni Kwa mujibu wa Taarifa ambayo imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt Moses Kusiluka
Post a Comment