Timothy Marko
SERIKALI imewataka wadau wa Sekta ya ElimuNchini kuwekeza katika kuzalisha Watalamu wenye Ujuzi katika Nyanja ya Sayansi Teknolojia ilikuweza kuzalisha Bidhaa na Ajira na uzalishaji wa Bidhaa
Akizungumza Katika kuhitmisha kongamano la tisa wabunifu na wanasayansi Nchini Jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu Sayansi nateknolojia Nchini Profesa Adolf Mkenda amesema kuwa niVyema kukuza Watalamu wenye Ujuzi ilikuweza kuzalisha Bidhaa na Ajira Nchini.
"Lazima tuwe na Elimu inayozingata Ujuzi wa kwenda kuzalisha Bidhaa na Ajira Nchini"Alisema Waziri wa Sayansi nateknolojia Profesa Adolf Mkenda.
Profesa Mkenda Aliongeza kuwa niVyema wadau wa Sekta ya ElimuNchini kuwekeza kuzalisha Watalamu Wengi katika Sekta ya Sayansi nateknolojia kuweza kukua kiuchumi.
"SERIKALI imetenga Shilingi bilioni 6 ilikuwezesha wabunifu na kuwaendeleza wabunifu ili kuleta matokeo Chanya" Alisisitiza Profesa Adolf Mkenda.
Kwa upande wake Mkurugezi wa Tume ya Sayansi Nchini (COSTECH) Amos Nungu amesema kuwa matumizi ya Sayansi nateknolojia Yana chagizwa na utafiti unaokuza ubunifu katika kuhimili Uchumi shindani.
Alisema kuwa katika kuimarisha Sekta ya Viwanda Sera nakuimalisha Teknolojia bunifu katika kukabiliana na Tabia ya Nchi .
"Kauli mbiu ya kongamano hilli linalohitishwa Leo linakauli mbiu Teknolojia na athariza Mabadiliko ya tabia ya Nchi"AlisemaMkurugenzwa COSTECH AmosNungu .
Post a Comment