..............
Timu ya ya Tanzania imeendeleza ubabe katika uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kuifunga Jumla ya mabao (2-1) timu ya Club_sportif.sfaxien ya Tunisia katika mchezo wa Kombe la Shirikisho.
Magoli ya Simba SC yote yamepachikwa nyavuni na mchezaji wao machachari Kibu Dennis na hivyo kupata alama tatu na kufikisha point sita katika kundi lao
Post a Comment