****
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Desemba 04, 2024 ni mgeni rasmi katika
ufunguzi wa kongamano la Kisayansi na mkutano wa 54 wa Chama cha Wafamasia
Tanzania.
Kaulimbiu ya Mkutano huo unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya
Kikwete, Jijini Dodoma ni “Ubunifu kwa Mustakabali wa Huduma za Afya Tanzania”
Post a Comment