****
Said Salimu Awadh Bakhresa mfanyabiashara mwenye mafanikio na uzoefu wa zaidi ya miaka 30 akiwa kwenye tuzo kwa Walipakodi bora kwa mwaka 2023/2024 tukio linalofanyika Masaki Jijini Dar es Salaam leo January 23,2025.Tuzo hizo zinatolewa na Mamlaka ya mapato nchini TRA na mgeni wa heshima ni Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan


Post a Comment